Ujumbe wa Mwanzilishi mwenza
Sehemu tatu, picha moja kamili
Kutoka kukwama hadi kuwa huru: soma moja, kisha nyingine.

Na Mohd Asaa KhamisMwanzilishi mwenza, na mtaalamu wa mabadiliko ya kidijitali
Kwa ufupi, sehemu tatu
- Utajiri: Tunakiona kilichomo akilini, wingi au mapungufu.
- Uamuzi: Tusipokitumia tulichonacho, kinaoza chenyewe.
- Umakini: Bila ya umakini thabiti, hatuwezi kuona fursa za utajiri wala kufanya maamuzi.

Imeandikwa na
Mohd Asaa Khamis
Mwanzilishi mwenza, na mtaalamu wa mabadiliko ya kidijitali